voturadio
voturadio
voturadio
@voturadio

Nikki Mbishi aigomea serikali, afanya show na wimbo uliofungiwa


Category: Entertainment
Duration: 00:02:53
Description:
Nikki Mbishi ni miongoni mwa wasanii waliohudhuria katika uzinduzi wa albamu ya Wakazi 'Kisimani', Nikki alitoa burudani ya aina yake kwa kuanza kuchana mistari kutoka kwenye ngoma yake I'm Sorry JK. Wimbo huo tayari ulikuwa umefungiwa na serikali kutokana na kuwa na maneno ya kukashfu.

Tags

Dislike 0
-